Nasikia harafu ya vita vikali Nchini DRC

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu nchini DRC, muungano tawala wa Rais Felix Tshisekedi unaendelea kugawika ambapo kumezuka hali ya vuta nikuvute kati ya vyama vya muungano huo na chama kingine mshirika cha Ensemble pour la République cha mfanyabiashara mashuhuri na gavana wa zamani wa mkoa wa Katanga Moses Katumbi, ambacho kimeanzisha ukosoaji wa wazi wazi wa utawala wa Tshisekedi na kusisitiza uchaguzi laazima ufanyika kwa muda uliowekwa kikatiba.

Acha tuone mwisho wake utakuwaje maana naona mambo ya 2015 tena apa viongozi wanapenda madaraka mpaka wanajisau

Na kibaya zaidi wanaoumia saana ni raia maskini maana wanakimbia makazi yao na kuwa wakimbizi wote tunajua timbwili timbwili za moise katumbi akiamua kukiwasha ni matatizo makubwa kwetu maana ni maandamano kila siku maana nyuma yake ana watu wengi

Raisi akubali tu uchaguzi ufanyike basi kama ni yeye ndo atashida ni poa sio kukataa
 
Wakianza kuchapana Bandari yetu itadorora tusiwaache tuwasuluhishe.

Jumuia yetu imekuwa kijiwe cha Wanafiki sisi kama Watanzania tusiwaache Wakongo wachapane.
 
vita iko wapi hapa mkuu?
 
Wakianza kuchapana Bandari yetu itadorora tusiwaache tuwasuluhishe.

Jumuia yetu imekuwa kijiwe cha Wanafiki sisi kama Watanzania tusiwaache Wakongo wachapane.
hahahaha,siasa tu hizo,hkn vita usiogope
 
Back
Top Bottom