mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Inataka uvumilivu tu mkuu,maana kuna watu wana vikampuni uchwara wana uza hizo korosho kwny packages tofauti tofauti hata hizo tani 5 yawezekana hawana mkuu.Ila akibangua kidogokidogo akapeki atapata hela nyingi zaidi,ingawa mlolongo utakuwa mrefu.