Nashusha kilometre za magari na pikipiki kwa bei nafuu.

Baraka sheni

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
471
197
nashusha kilometre za.magari na pikipiki kwa sh 100000 njoo pm kwa maelezo zaidi. karibuni wote
 
nashusha kilometre za.magari na pikipiki kwa sh 100000 njoo pm kwa maelezo zaidi. karibuni wote
Huu ni wizi.
Na kwataarifa yako jichunge na hizo pm utakazo tumiwa, kwasababu wapo watakao kuja pm ili waweze kukuchukulia hatua za kisheria kwakua huu ni wizi mubashara
 
Ndo wanapopigwa watu wanunuao magari Kwa kuangalia kilometers na namba
 
Kama nchi tumefika pabaya, unaamua kuumiza wananchi wenzako kisa tumbo lako?? Ndio maana ni risky sana kununua gari mkononi au yard zetu.
 
Nina land rover yangu ya mwaka 1891, vipi unaweza kufanya maarifa ikasoma km 0 ili tuitie sokoni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom