heri ya dada aliyekupa cha mbavu..
Sijawahi kutendwa,na sijawahi kusherehekea hii siku simply because sijui maudhui yake, mimi na mpenzi wangu tunapendana kwa dhati tangu tulipokutana siku ya kwanza. Shida yangu ni hapo kwenye shangwe na vigelele,hata kanisani vinapigwa,lakini je,maudhui halisi ninini ? au kuishia kutenda uovu kwa jina la shangwe na vigelegele. Nisaidie dada Purplewatu wengi wanaoponda siku ya valentine ni wale tulio single au tuliokua kwenye mahusiano lakini hatufurahii mahusiano hayo au wale tulowahi kutendwa siku ya valentine,:A S 100: ila kwa wale walio kua happy na watu wao jana ilikua shangwe na vigelegele!
watu wengi wanaoponda siku ya valentine ni wale tulio single au tuliokua kwenye mahusiano lakini hatufurahii mahusiano hayo au wale tulowahi kutendwa siku ya valentine,:A S 100: ila kwa wale walio kua happy na watu wao jana ilikua shangwe na vigelegele!