am a girl
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 748
- 504
Hata sijaila,nilisubiri unipe mwalikoMbaya mpenz...sikukuu umekula pk yko?
Hata sijaila,nilisubiri unipe mwalikoMbaya mpenz...sikukuu umekula pk yko?
Ningekupaje mwaliko naww umefichwaaHata sijaila,nilisubiri unipe mwaliko
Hakuna ata wa kunfchaNingekupaje mwaliko naww umefichwaa
ok, hongera kwa hatua ya kwanza, sasa subiri matusi ya manesi.Kama ni maumivu kwa kweli sasa nimepona ..ningelificha maradhi mwishowe ningelizidi kuumia baada ya kusoma comments zenu na wengi kuja inbox kwa kunirubuni ila msimamo wangu ulikua ni kutokumkubalia mtu tofauti na my hubby kiukwel kuna bi shoste mmoja alinipa mbinu na nikalifanyia Kazi hatimae my hubby kanitendea haki na kuutibu ugojwa wangu najisikia faraja sana kwani tutakua tunaendelea ...poleni wote mliojaza inbox yangu kwa kutaka kitonga .....
Ulipotelea wapi sasa?!Hakuna ata wa kunfcha
Maisha tuUlipotelea wapi sasa?!
Basi njoo leo tumalizie sikukuuMaisha tu
Siku ya kazi leoBasi njoo leo tumalizie sikukuu
Baada ya kaziSiku ya kazi leo
Saa nane usiku?Baada ya kazi
Ndio muda muafaka huo kiza kinene ndio kunanogaSaa nane usiku?
Ha ha ha umetisha jembe.Usinipe majaribu bibie...mm kabla hujaniambia unapenda unaikuta imepenya
Tempted to place a few quids that 'she' is actually a MAN!
Pole na hongera sana..uzuri ni kwamba ulijiongezaKama ni maumivu kwa kweli sasa nimepona ..ningelificha maradhi mwishowe ningelizidi kuumia baada ya kusoma comments zenu na wengi kuja inbox kwa kunirubuni ila msimamo wangu ulikua ni kutokumkubalia mtu tofauti na my hubby kiukwel kuna bi shoste mmoja alinipa mbinu na nikalifanyia Kazi hatimae my hubby kanitendea haki na kuutibu ugojwa wangu najisikia faraja sana kwani tutakua tunaendelea ...poleni wote mliojaza inbox yangu kwa kutaka kitonga .....
Tempted to place a few quids that 'she' is actually a MAN!
Kama ni maumivu kwa kweli sasa nimepona ..ningelificha maradhi mwishowe ningelizidi kuumia baada ya kusoma comments zenu na wengi kuja inbox kwa kunirubuni ila msimamo wangu ulikua ni kutokumkubalia mtu tofauti na my hubby kiukwel kuna bi shoste mmoja alinipa mbinu na nikalifanyia Kazi hatimae my hubby kanitendea haki na kuutibu ugojwa wangu najisikia faraja sana kwani tutakua tunaendelea ...poleni wote mliojaza inbox yangu kwa kutaka kitonga .....