amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 453
Kama ni maumivu kwa kweli sasa nimepona ..ningelificha maradhi mwishowe ningelizidi kuumia baada ya kusoma comments zenu na wengi kuja inbox kwa kunirubuni ila msimamo wangu ulikua ni kutokumkubalia mtu tofauti na my hubby kiukwel kuna bi shoste mmoja alinipa mbinu na nikalifanyia Kazi hatimae my hubby kanitendea haki na kuutibu ugojwa wangu najisikia faraja sana kwani tutakua tunaendelea ...poleni wote mliojaza inbox yangu kwa kutaka kitonga .....