Nashukuru sana kwa ushauri wenu hatimae nimefanikiwa..

amanda cute

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
244
452
Kama ni maumivu kwa kweli sasa nimepona ..ningelificha maradhi mwishowe ningelizidi kuumia baada ya kusoma comments zenu na wengi kuja inbox kwa kunirubuni ila msimamo wangu ulikua ni kutokumkubalia mtu tofauti na my hubby kiukwel kuna bi shoste mmoja alinipa mbinu na nikalifanyia Kazi hatimae my hubby kanitendea haki na kuutibu ugojwa wangu najisikia faraja sana kwani tutakua tunaendelea ...poleni wote mliojaza inbox yangu kwa kutaka kitonga .....
 
WTF subir uje kuachwa ndy utatia akili alafu kwa kunyea ukute kushatanuka tayar [HASHTAG]#basi[/HASHTAG] bhana ndo hivyo
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom