Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

siku zote masikini akipata ma.ta.k.o hulia mbwata. Ni hilo tu!!
 
we jamaa sio mzima kama ulikua unataka SAUT si ungeomba direct ata mwenye principle 1 yuko pale kuliko kupoteza 30000 bure duuuuh!
NAUNGA MKONO BAN KWA UYU JAMAA
 
Hii mtoto imetoka wapi??? alafu naona inafikiria kwa kutumia masaburi
 
Hahaha, we chalii asee dah... Kila wakati nikisoma maelezo yako nacheka sana!!! Choice 6 za ardhi na ifm zote down , then watu wengne wamepewa nafasi ifm kwa kua wanavigezo japokua hawakuchagua... Ww arifu umeweka kozi 3 ifm hujapata alafu unaponda???? unaonesha we ni mburula HD, samahani lakini!!!
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

nimeacha wosia kwa wanangu wasisome SAUT TUMAINI NA UDOM
 
kweli akili ni nywele kwenye chuo ambacho niliombea nisichaguliwe ni SAUT wanachukua hata kama una principle 1 tuulize watu wa mwanza tukwambie.inaonyesha IFM wamekupa last prioprity ndo maana hukuchaguliwa coz huna vigezo vya kuwa pale.wale ambao hawakukichagua ila wamechaguliwa wamekizi kwa hyo hawawezi acha brilliants wakachukua kilaza kama ww.mi ningefurahi coz nimekidhi vigezo while mbwiga kama ww umeshindwa so wakaona SAUT ndipo panapokufaa.teh teh teh teh

hahaha i couldn't agree more
 
wewe ndio kwanza umechaguliwa kuingia chuo, halafu unatukana watu, halafu wewe mwenyewe ulikichaguwa kwa course zaidi ya tatu, halafu wewe unatuambia ni institute of failures management, inatuonesha kwamba hata wewe ni failure ambaye matokeo umeyapata kwa sababu kuna mtu baraza la mitihani katia data ovyo kwenye computer ndio maana umepata hizo maksi zako. kwa hiyo wewe ni failure ndio maana ulikuwa unataka kuchaguliwa katika chuo wanachosoma ma failure.

lakini sisi tuliosoma na tunakula mishahara minono kwa ajili ya ifm tena kwa ajili ya cheti cha ifm mpaka wazungu kwao ulaya walikuwa wanatupa kazi za maana, sasa sijui kama wewe hata hiko cheti utapata kwa tabia hiyo.

lakini pia sikushangai sana nyinyi ndio wale mkienda kuomba visa balozi za nje kwa ajili ya kuenda kusoma huwa mnasema sylabus ya kibongo ni tooooo shalow

umetisha, i like dat
 
daaah.kasumba ya kuzarau vyuo sijui itaisha lini...kwani maisha mpaka usome UD,SUA ,MZUMBE au UDOM...kweli watz tunasafari ndefu
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

MALUMBANO YA VYUO HUMU NDANI NI KATI YA FANI ZA ARTS NA ENGINEERING.Inaonyesha wazi kabisa kuwa wasomi wengi waliosomea fani hizi(Arts na Engineering) walisoma kwa kufuata bendera upepo na si kwa kudhamiria wanataka kuwa kina nani baada ya maomo yao ya sekondari na elimu ya juu.Tatizo wengi humu ni watotowadogo wanaanza kuelewa masuala ya vyuo baada ya kumaliza form six.Sisi tuliosoma enzi hizo tuliandaliwa kabisa kama unataka kufanya kazi vyama vya ushirika baada ya form six unachagua kwenda Chuo cha Ushirika Moshi,Ukitaka kufanya mbuga za wanyama unakwenda Mweka,Ukitaka kufanya mambo ya Kodi,bank,Uhasibu unakwenda IFM,ukitaka kuwa Medical Doctor unakwenda Muhimbili.siku hizi vijana wanasoma bendera fuata upepo ndio maana akifika form six hajui achague pa kwenda kwa hiyo anachagua chuo ili mradi tu amefika chuo kikuu.Kutokana na kuchanganikiwa na kuwa na upeo mdogo anaanza kuona chuo fulani ni bora kuliko kingine.Madoctor(Medical Doctor) ndio pekee nawasifu sana wanajiamini na elimu inayotolewa na vyuo wanavyosomea fani ya udaktari(Medical Doctor).Hongereni madokta (medical doctor) wetu msishiriki kwenye malumbano ya kukandiani kwenye fani zenu ila muwe na umoja wa kufikiria jinsi ya kuongeza ufanisi kwenye kazi zenu bila kujali wewe umesoma wapi?
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???
Hukupangiwa IFM kwa sababu hukuwa na sifa za kujiunga na hicho chuo.Ndiyo maana SAUT ukiwa na hata division two ya form six unaweza kuchaguliwa kusomea sheria direct, lakini UDSM huwezi kuchaguliwa sheria direct ukiwa na division two.
Unavyosema yeyote humu ndani angechaguliwa IFM angejisikiaje,inategemea mtu mwenyewe ulivyosoma malengo yake yalikuwa awe nani baada ya kumaliza elimu ya juu.
 
mr ada shda au mtaj!m na2a ifm na nashukuru tcu kunipanga huko ckuomba!cfa nilizonazo wamenipeleka hapo na nacmama kufanya kaz naend kusoma hope tutaonana kpnd cha chuo uwe ukpost maisha na mitihan ya SAUT,Angalia usiishie njian
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

six ulipiga div ngapi kilaza wa fikra.
 
Back
Top Bottom