Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,774
- 43,354
Bila vivid examples with pictures 🖼️🖼️ huu Uzi ni batili weka picha mkuu😂😂🤣🤣🤣🤓🤓😊☺️Mamboz.
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?
Na iwe siri yangu ,members wengine wasioneUtaweza kuvumilia🌚?
Aya Mulembwendee (mulembo)Mamboz.
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?
Yaani anachosha sana huyu broo na threads zake zisizo na kichwa wala miguu.Oya unaboa mzee.
Acha kuwashtua nenda taratiibu, watu wakale wapi?Kwa mfululizo wa threads hizi kuna mtu ataliwa nauli soon
#KATAANDOA
Hongera kwa kuwa mzuri, umejikubali mwenyewe. Ila siku hizi hatupendi wazuri tunawaacha mpambane na shepu zenu.Mamboz.
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?
Wewe wenzako wanahitajiHongera kwa kuwa mzuri, umejikubali mwenyewe. Ila siku hizi hatupendi wazuri tunawaacha mpambane na shepu zenu.
Una saikolojia fupi kuna mwanamke asiyejikubali jamaniWanawake wenyewe hawajikubali kama wao ni wazuri, na hakuna mwanamke anayeweza kujikubali tena wengine wanajikataa hata wanapo ona vipochi manyoya vyao ndiyo wanajikaa kabisa na kujichukia.
Wewe ni mvulana tena papai urojo..
Nb: HAKUNA MWANAMKE ANAYEJIKUBALI KAMA YEYE NI MZURI HATA IWAJE, NDIYO MAANA TUNAVYO WATONGOZA INABIDI UMPAKE MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA
Afu kweli na jua hili dahAcha kuwashtua nenda taratiibu, watu wakale wapi?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kuna wenye navyo vyote hivyo, usiombe nusu nusuUsiombee sura na shepu ombea bahati ya mtende.
Umeona ee![emoji3]Afu kweli na jua hili dah
Ukahaba ni kama kito cha thamani katika pua ya nguruwe.Mamboz.
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?