MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
we una sonona. Tupia picha humu. Mi nakufahamu una sura mbaya tena sanaMambozz .
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape .
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?
Mjomba huyo,ana ndevu nyingi..we una sonona. Tupia picha humu. Mi nakufahamu una sura mbaya tena sana
Huyu wala sio malkia nyuki.Malkia nyuki kahamia JF...