mie sina mchango ila usahihi tuu
hapo bold umekosea ni Pasaka na sio Noeli
mi mzima kabisa ndg yangu...........................ha ha ha ha.!! tuliotoka kijijini kiswahili tukakijulia mjini ni shid!!
heshima yako dada yangu!!
mie sina mchango ila usahihi tuu
hapo bold umekosea ni Pasaka na sio Noeli
Bado nasubiri....unaenda mwaka wa pili sasa.....
Unawezaje kumfukuzia demu wa mtu?
Ninyi ndio huwa mwaliwa uwemba...
ivi NN bado unakumbukaa?
nilibanwa na shule kidogo, si unajua ujinga wa kufuta uzeeni??
aya sasa twende PM
haya A........twende sasa pmTeh teh teh....
Huwaga sisahaugi mimi...
Heri ya Noel Mimi nilikuwa namfukuzia demu mmoja hivi kwa muda sana akakataa kabisa nilitumia kila njia bila mafanikio akaniambia ana MTU wake anampnd sn na hawez kumwacha watoka mbali nikaendelea zaid na zaid nkagonga mwamba alipoona nazdi akanitia picha akiwa poz kali na jamaa ake akasema wapendana sana anampenda na yy anampenda saaana nikasalim amri nikasema imekwisha
Juzi anasema ati ananiomba ushauri sabab tang xAman anahic mpenz wake hampendi htkidogo anaomba ushauri nkamtumia screenshots za zle SMS zk kuwa wanapenda wote anesema ati alikuwa ajajua ushauri kama huna usitoe kejeli kaa kimya
Uwemba ndo nini? Hahahaaa! Nimegoogle hilo neno holaaaaaaaaaa!
Hahahah....
Jina mbadala la kalio...
Sasa Uwemba ni kilugha cha wapi?????? Maana google iliniletea UWEMBA SECONDARY NJOMBE! :lol: