Nashindwa kutoa simcard kwenye simu (phone)

The Conscious

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
460
701
Wanajamvi naomba mnisaidie kitu ambacho naweza nkatumia kutoa simcard kwenye simu yangu kwa sabab ile pin ya kutolea nmeipoteza kwaiy naomba kufaham kam kuna alternative ya hiyo pin au kama huwa zinauzwa dukani.
 
Sindano
Pini
Waya mgumu


Ushauri
Usipende sana kuchomoa chomoa sim card kwa iphone yako mkuu kuna shida nyingi sana unaweza kupata kwa mtindo huo
Najua kuna changamoto zinalazimu kubadili simcard ila jitahidi

Mi toka nimewaka sijawahi toa simcard sijui hata kipin chake kinafafanaje
 
Peni zile za ncha flan zinafanya kazi pia kirahis na hazina ncha ya kukuzuru
 
Back
Top Bottom