Natumia nokia 2700, naomba msaada kwani ninapotaka kustream video za utube, inapoanza kustream inaonesha hadi hukubwa dakika za video ila haioneshi zaidi ya kunipa ujumbe kwenye screan ( NOTHING TO DISPLAY). Ninkosa mambo mambo mengi tafadhali mwenye ujuzi na ili naomba anisaidie. Pazia!
Hata mimi ninahitaji msaada; ugonjwa unafanana. Natumia Nikia E61i, naambiwa UNABLE TO CONNECT TO SERVER. SERVER TIMED OUT.
Simu yangu ilikuwa ina-support bila tatizo. Imegoma ghafla, sijui tatizo nini?
airtel wanamatatizo kwenye server zao kustrem videos online, try another sim card utaonaNatumia Airtel, je inaweza kuwa sababu?
simu yako haisupport hizo stream video sawa mkuu..