Nafikiri ungesema pia ulimkosea nini ili tupate pa kuanzia kwani kila kosa lina namna yake ya kuomba msamahaNilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua 😢
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hao ndio Wana busara !??Mkuu kama unataka msaada kweli kweli kabisa mtafute Evelyn Salt au hata Miss Natafuta
Hopefully wanaweza kukushauri jambo maana wao wana busara sana kuliko wengi humu
[emoji16][emoji16][emoji16] miaka minne still ana maumivu !? Aisee kweli stage za ukuaji Ni changamotoHutu twa hivi tunakujaga kuwa tudinyaji balaa.
Ngoja kapone maumivu ya moyo.
Sawa but ukweli nikwamba hakuhitaji Tena ' jifunze kupitia makosa uliyo yafanya then move on , tumia Hilo funzo Kama fundisho katika maisha yako , Ili in the future uwe mtu mwenye kuthamini wale wanao kupenda na kukuheshimu , Makosa yapo kwaajili ya kutufunza na kutu shape katika maisha yajayoKu move on sio kitu rahisi ndugu. She's perfect in every way ndio maana inakua ngumu kupenda mwingine.
[emoji16][emoji16][emoji16]Acha ufala
[emoji375][emoji375]Tatizo amejua unampenda sana sana, hapo ukizidi kumfatafata utazidi kuumia zaid, muhim jifanye kama humjui then tafuta kipoozeo endelea na maisha...
Mapenzi ndio yalituunganisha kabla basi ningependa mapenzi yatupatanishe tena bila kutumia any other wayNjoo inbox mkuu umempata usipompata najiuzulu na je ulimkosea nini untajie inbox mkuu namalizq kazi kuna shida kama yako ilitokea tanga nimeimaliza bila.wasi
mama kasema mwaka na miezminneKutafuta mtu kwa miaka minne na haoneshi ushirikiano maana yake hakutaki tena
Kwa sasa yupo anayependwa huko zaidi yako na ukiona amerudi kwako ujue amekosa namna
Move on
Shida iko hapo kutafuta mwingine mkuu she's in every bit of my lifeTatizo amejua unampenda sana sana, hapo ukizidi kumfatafata utazidi kuumia zaid, muhim jifanye kama humjui then tafuta kipoozeo endelea na maisha...
Ooh,typing error...mama kasema mwaka na miezminne
Pole sana mkuu,tupo wengi tunapitia hii hali kumbe.Mimi ninaishi mkoa mwingine na mke wangu,last week alinifanyia bullying flani hivi.Aisee sitaki hata kukumbuka,maana nilijikuta nimeenda sehemu nikanywa pombe halafu nikajaribu kujiondoa kwa njia mbalimbali zaidi ya mara tatu.Mungu akaniepusha,nikarudi ninapoishi ndio nikamtafuta sasa ili nimwambie alichokuwa amenisababishia.Nikakuta ameniblock kwenye namba zake zote.Nikaingia what's app nikamuona yupo online nikamuomba tuongee akaniblock.Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu.
Nisaidieni wakuu Nifanyeje nimrejeshe, Nampenda sana tatizo kaniblock kila mahali, kila namba nikiitumia kumpigia ananiblock hataki hata kuongea nami😢
Yeye ndio furaha yangu sidhani kama naweza kumpata mwingine ninayempenda kama nimpendavyo huyu mwanamke.
Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote.
Naombeni ushauri wakuu Nifanyeje kumpata tena mpenzi wangu huyu?? Kila nikimpigia ananiblock. Nifanyeje mimi??
I'm in so much pain wapendwa 😢
Tafuta ela weww acha kusema akuna wa kumzidi,ungekuwa na bonding usingemkosea mpka hakajua iyo ni kumkosea dhambi ya usaliti kwa kiduku unalambwa kichwa na chensoooNajua wapo wanawake wengi, shida iko hapo kumtafuta mwingine. Kila mwanamke nayemuona naona hamfikii hata robo ya sifa alizonazo mkuu. Halafu kuna feeling/bond fulani naipata kwakwe tu
Jibu mrua sana hiliOeni wanawake wanaowapenda na sio wanawake mnaowapenda... Mkiishi kwa falsafa hii mtaishi kwa furaha...
Mwanamke kadri unavyompenda ndio unazidi kumuweka mbali na wewe kihisia... Ona sasa unavyotapatapa
Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu.
Nisaidieni wakuu Nifanyeje nimrejeshe, Nampenda sana tatizo kaniblock kila mahali, kila namba nikiitumia kumpigia ananiblock hataki hata kuongea nami[emoji22]
Yeye ndio furaha yangu sidhani kama naweza kumpata mwingine ninayempenda kama nimpendavyo huyu mwanamke.
Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote.
Naombeni ushauri wakuu Nifanyeje kumpata tena mpenzi wangu huyu?? Kila nikimpigia ananiblock. Nifanyeje mimi??
I'm in so much pain wapendwa [emoji22]