J Jackson10 Member Joined Jun 4, 2021 Posts 36 Reaction score 24 Apr 3, 2022 #1 Habari wana JF, Naomba msaada ili nipakue app kutoka playstore. Nimeshindwa kwa sababu nahitajika kuweka password ya email yangu na nimeisahau hiyo password.
Habari wana JF, Naomba msaada ili nipakue app kutoka playstore. Nimeshindwa kwa sababu nahitajika kuweka password ya email yangu na nimeisahau hiyo password.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,572 Reaction score 108,904 Apr 3, 2022 #2 Itabidi uombe msaada kwa mtu, upakuliwe [emoji23] Chief kama umesahau password hapo kuna sehemu wanakwambia kama umesahau password, unabofya hapo unafuata hayo maelekezo kisha utapata kujaza password nyingine.
Itabidi uombe msaada kwa mtu, upakuliwe [emoji23] Chief kama umesahau password hapo kuna sehemu wanakwambia kama umesahau password, unabofya hapo unafuata hayo maelekezo kisha utapata kujaza password nyingine.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,487 Reaction score 195,299 Apr 3, 2022 #3 Rudisha simu kwe mwenyewe... Maana email kama ni ya kwako kurudisha password ni rahisi sana...
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 8,651 Reaction score 14,320 Apr 3, 2022 #4 Reset Nywila yako