Nashindwa kuomba chuo cha St John, msaada jamani

Deucalion

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
88
Reaction score
22
Wale ambao wamefanikiwa kuapply St.John ikoje, mbona mimi nikitaka kuingia kwenye online application. Inachukua muda kufunguka hadi inagomaa. Tusaidiane wakuu.
 
mkuu hapo ni application ya second round au?
 
angalia mtandao wako mkuu inawezekana unashida ya mtandao mahali ulipo
 
Freshers mnaenda vyuoni, mnatakiwa kufanyiwa vipimo ili ijulikane kama mnatumia drugs au la

By mkemia mkuu wa serikali ya Magufuli.

Upendo ni tiba.
 
sasa ww unashindwa kufungua website ya chuo au unashindwa kuingia sehemu ya kufanya application???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…