ndenga
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 1,788
- 1,302
Ushauri wangu ni usimpe nafasi kubwa sana katika moyo wako(kiti ambacho kitakuwa kigumu coz unampenda kwa thati), coz inavyoonekana bado yuko fifty fifty kwako. inawezekana jamaa yake amemkorofisha akaamua kukutafuta ili kupooza machungu. so siku jamaa akirudi utakuwa huna chako then utauimia mara mbili zaidi ya mwanzo. Yaani from my experience hii ni ishu ambayo nimewahi kukutana nayo na ilinichukua muda kurudi kwenye normal. cha msingi kama utaweza achana naye tu coz atakuja kukusumbua.