Nashindwa kumuelewa

b da best

Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
34
Reaction score
7
Nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi sita sasa.

Lakini hii yote ni kwa sababu ya mimi kuwa mvumilivu na kujipa moyo kuwa nitaweza kumudu kuwa nae.

Tatizo ni mawasiliano yangu mimi na yeye maana yeye anakaa mbali na mimi na muda mwingi anakuwa katingwa na shughuli zake.

Hivyo hapati muda wa kuweza hata kunijulia hali na mimi kwangu inakuwa ngumu maana yeye hapokei simu nikimpigia.

Muda pekee ni jioni ndo anapata na mimi muda kama huo na kuwa bado kwenye miangaiko yangu.

Yeye akifika anakula na kulala sasa we don't get to talk kama wapenzi, na hii ni yeye muda wa usiku ambao tungeweza kuongea na kujuliana hali yeye anakuwa kalala.

Sasa ni nashindwa kuelewa haya mapenzi ya namna gani.

N she claims that she love me sana.

I really don't get, I need ur advice guys help me nifanyeje.
 
Pole sana.... Hii kama inanihusu hivi! Tabia hii naifanya kwa mtu ambaye sina muda naye ili ajiongeze na kukata mawasiliano.
 
hahahah wale wale.. umepatkanajeee rfk... angalia ustaarab mwingine...i know us laddies wen we don have interest anymore.
 
kwa m2 anaekupenda huwez kukosa mda wa kumjulia hal mwenzio. ina maana yy hana rfk wa kuongea, ndg na jrn wanaomzunguka. akl kwa kchwa.
 
Ukiona manyoa ujue keshaliwa huyo ushauri achana nae, Mwanamke akipenda ni vurugu utawakasirikia hadi waliotengeneza hizo simu usumbufu wake.
 
Wasichana tukipenda tunavyojua kusumbua kwenye simu looh..! Please soma alama za nyakati, hakupendi huyo
 
usiumize kichwa nawe fanya shughuli zako mpk uchoke, lala usimtafute, af claim kwamba u love her so much...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…