Bana anaishi kinafiki.Alipiga ramli JK amteuwe akamkaushi.Sasa anahamishia ramli zake kwa JP
Posse kapewa shavu yeye kabaki na unafiki wake na atashika chaki mpaka siku ya hukumu
Rasilimali ya wasomi kwa taifa hili huwa naifananisha na rasilimali ya madini,hivi vitu viwili bado havijawahi kulisaidia hili taifa hata kidogo,wasomi uchwara wa taifa hili wakishapata nafasi serikalini basi utawasikia kila siku kuisifu kwa madudu yake nadhani kuna haja ya kureview na kuwavua hizi awards hasa profs and Phd holders wengi ni mizigo.
Dr Francis yeye misifa ya hovyo na kujitia ujuaji kumbe hakuna kitu. Alijisifu sana kuwa kwenye bodi ya TPA angalau Magufuli amemtumbulia mbali. Anapaswa kunyofolewa tena kwenye bodi ya mfuko wa fidia kwa wafanyakazi.