Nashindwa kumuacha kabisa

Moyo unaweza kupenda yoyote,hata mwenye tabia mbaya
Si kila tabia unayojua wewe ni mbaya na mwengine atasema ni mbaya, kuna kutofautiana mtizamo.
Ukimpenda mtu lazima kunakua na sababu. Najua unaelewa.
Note: kuna kumpenda mtu awe mpenzi tu wakufanya nae ngono, na kuna kumpenda mtu ukataka awe wa ndoa (familia).
 
Nashukuruu sana broo nimekuelewaaa sanaaa.
 
Watu walio advance from chaputa to kupata demu ndo wanakuaga hiv
 
Nafikiri kwenye kumpenda mtu kwa ajili ya ngono ndio kunaweza kutetea hiyo point yako ya sio kila tabia nayoona mimi mbaya na mwingine aone mbaya.....watu wa hivi hawajali sana kuhusu tabia ya partner wake,yeye ili mradi anapata anachokitaka

Lakini kwa mapenzi ya mtu anayefikiria kuanzisha familia lazima atakuwa na mtazamo sawa na wengine wengi....yaaaani kama ni tabia mbaya kwa wengi basi itakuwa mbaya pia kwake na kinyume chake
 
Kipenda rohoooo,akipenda anapendaaa,
Kipenda rohoo,hula nyamba mbichi,
Kipenda rohoooo,haoni wala hasikiii,
Kipenda rohoooooooooooooo.....Γ—3🎀

By. Remi
Hahahh kweli kabisa hii
 
Huyo jamaa ni mumeo ama demu wako?
 
usimuache ila tafuta demu mwingine then u will balance the weigh..
 
tafuta mwingine mpotezee taratibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…