Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Anakupa Mbususu?Nipo kweli mahusiano almost two years sasa!
Sema kweli huyu binti nampenda lakini tabia zake hazifai kuwa mke hata kwa kubahatisha!
Umempa Madini vipi kuhusu wew mchuchuUmewahi kumweleza kuhusu hizo tabia ambazo hupendi!?
Tafuta namna nzuri ya kumweleza bila kumkwaza,asipobadilika ndo ufanye maamuzi mengine
Kuhusu upagani mshawishi kwenda kanisani atabadilika tu kumbuka hakuna mkamilifu Kila MTU ana mapungufu yake
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi tena nimefanyaje[emoji849][emoji849]Umempa Madini vipi kuhusu wew mchuchu
Vipi wewe njoo Pm saivi.
Sina nauliii.....Tuma na ya kutolea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipi wewe njoo Pm saivi.
😂😅😅 Daah PM kuna nauli basi mi naumwa njoo ghetto uje uchukue pesa kidogo 😋😋Sina nauliii.....Tuma na ya kutolea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nakufuata basiSina nauliii.....Tuma na ya kutolea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mpaka nije ghetto[emoji848]Kaa TU na hela yako[emoji22][emoji23][emoji28][emoji28] Daah PM kuna nauli basi mi naumwa njoo ghetto uje uchukue pesa kidogo [emoji39][emoji39]
Hapana nakuja mwenyewe tuma nauliiNakufuata basi
Weka namba