Nashindwa kumsaidia

uongope uharibu ndoa kwa mtu wa nje tu..tena hana msaada kwenye ndoa yenu...acha uzoba..yena ilistahili umle kimya kimya tu ..sema basi....na acha u=kutetea uozo kisa kazi hayo hayakuhusu ya kazini kwao waachie wao we kuwa mkweli kwa mkeo....mke ni mke ni wa thamani sio hao wanaotaka kumkomoa wife kisa anaringa ...
 
Sasa anapotezaje ajira? Ngono sio jinai yeye afanye KAZI zake kama kawaida na inavyotakiwa ,hy HR atamfukuzaje KAZI bila makosa?
 
Hii chai
Yeye huyo mwanamke kama aliamua kumkomoa bosi wake kwa kuringa maana yake alishajizatiti kwa chochote kitakacho toezea mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…