aliugua kichwa kwa muda wa maasaa ghafla nikaambiwa kafark..
ni bahati zuri kwani 2natakiwa kumshukuru mungu kwa kila atendalo kwa mwanadamu.. nami namshukuru piaSasa mbona unasema bahati nzuri Mungu akamchukua tena,mi nlijua kwako ingekua bahati mbaya
Pole sana lakini
athante thanaSasa mbona unasema bahati nzuri Mungu akamchukua tena,mi nlijua kwako ingekua bahati mbaya
Pole sana lakini
Daah pole xana kwa yaliyokukuta...bt to heal da broken heart needs tym
Ughonile nkamu gwangu.....numilwe fijho,nngunyonywa na ka lita.
Njia pekee yakusahau hayo yote ,,,,,kabizi maisha yako kwa yesu kristo,,kwasababu yeye ni mume wawajane,,,mtezi wawanyoke,,baba wayatima nk.....
Ughonile nkamu gwangu.....numilwe fijho,nngunyonywa na ka lita.