Pole sana.....Muombe Mungu
Pole sana..You will heal with time!!Just try to find the spirit to keep you strong!
Ugonile kalumbu....r.i.p marehemu
Nisaidie kumuuliza ni kitu gani kilimwondoa shem wetu? labda ndo maana anashindwa kumsahau.
asante sana kwa ushauri wako ngoja nijaribu kuufuata naamin utanisaidiaPole sana,tambua ni safari yetu wote,mpendwa wako katangulia iko siku mimi na wewe tutamfuata.
Unaweza kujiunga katika vikundi mbalimbali kama kwaya au michezo mbalimbali vitakusaidia kukuweka bize na kukusahaulisha maumivu hayo,pia mazoezi ya viungo gym,au jenga mazoea ya ule muda unaokuwa peke yako unaweza kuwa unaenda hospitali kuwatembelea wagonjwa,Muombe Mungu akusaidie kukuponya hayo makovu yaliyo moyoni mwako na uweze kusahau!
habari zenu wana jamvi., mwenzenu nlikua na mpenz 2lopendana sana kwa bahati nzur mwenyez mungu kamchukua.ni miez ming toka aondoke duniani lakin siku zote najawa na mawazo mpaka nahisi nachanganyikiwa thatha.. nsaidien jaman nifanye nin il mawazo angalau yapungue maana daaah...