Anzisha project nyingine, kuwa nayo bize huku ukimwambia uko na wifi yake. Onyo, hiyo project lazima ifahamu pia japo kidogo hiyo last project ili kupunguza msuguano ndani. Otherwise, yawezekana aliamua kufanya hivyo ili kujaribu kwingine baada ya kukuchoka wewe, sasa kajikuta wewe unaunafuu kwa hiyo anashindwa akuambiaje ili arudi.