CCM ni chama ambacho wengi wa vijana tumekuwa tukiponda sana kwamba ooh mafisadi, na mengineyo mengi na mimi sometimes natiwa majaribuni kuchukia chama lakini siwezi ile kuchukua hatua kuhama chama hiki kwa sababu bado nakipenda sana kwa misingi kiliyojiwekea yenye macho ya mbele.
Moyoni mwangu nashuhudiwa kwamba na uchaguzi ujao kitashinda kwa ushindi wa kishindo kwa sababu bado misingi yake haijavurugika, maadili ya chama yako tele, viongozi wanaojitambua, na wnachama mahili.
Nawashauri ndugu zanguni tuunge mkono chama chetu cha Mapinduzi. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!!!
Huna lolote....njaa tu inakuponza....

vijana wa ufipa karibuni mmwage matusi kama kawaida yenu.
Hawa vijana wa Lumumba wanatabu sana.
Ccm itaongoza nchi hii milele
vijana wangu siyo kama wa lumumba,wako makini zaidi ya kawaida.
Mfano. Ben saanane ni sawa na kina mwig.ulu hmsini, au kina na.pe arobaini!
Sina uhakika kama ni milele ila nina uhakika miaka 100 ijayo bado CCM itakuwepo madarakani.