Nashindwa kufanya maamuzi katika suala la mapenzi

Nashindwa kufanya maamuzi katika suala la mapenzi

super mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
223
Reaction score
173
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Mimi ni kijana wa kiume ninasoma chuo flani hapa Tz nina miaka 24.Nikiri kwamba niliishi maisha ya woga miaka yote ya maisha yangu.

Hii ilipelekea kuharibu saikolojia yangu katika kufanya maamuzi hasa swala la mapenzi. Nilipata nafasi za kuwa katika mahusiano na wadada kibao ila sikuweza kuwaweka akilini mwangu niliishia kuwabwaga bila sababu za msingi.

Kiukweli sijawahi kufanya mapenzi katika maisha yangu yote. Ingawaje pasonality yangu ni ya kawaida kama watu wengine. Imefikia hatua hata nikiangalia pon movies naweza nisiwe na hisia kabisa.

Wakuu kuna wengine mpo kama mimi au mimi nipo peke yangu

ANGALIZO: Sijawahi kutest wala kupiga nyeto.

Wakuu ushauri wenu please maana time inasonga ujana unakwisha pia.

Nawasilisha wakuu
 
Tatizo lako ni nini mkuu unawaogopa wadada, una domo zege au una tatizo la kutopata mihemko? hata ukiangalia porn! aiseee hilo ni tatizo mkuu watafute wataalamu wakusaidie
 
Yaan wakuu ninaweza nikamtongoza mwanamke but akinikubalia nakua Sina hamu nae Tena hata kuonana nae sijiskii
 
Tatizo lako ni nini mkuu unawaogopa wadada, una domo zege au una tatizo la kutopata mihemko? hata ukiangalia porn! aiseee hilo ni tatizo mkuu watafute wataalamu wakusaidie
Labda mkuu... Ila udomo zege sidhan coz nimejitest kwa eneo nilillpo nimegundua madem wanankubali Sana
 
Niende Moja kwa Moja kwenye Mada....
Mimi ni kijana WA kiume ninasoma chuo flan hapa tz Nina miaka 24...
Nikiri kwamba niliishi maisha ya woga miaka yote ya maisha yangu... Hii ilipelekea kuharibu saikolojia yangu katika kufanya maamuzi hasa swala la mapenzi..
Nilipata nafasi za kuwa katika mahusiano Na wadada kibao ila sikuweza kuwaweka akilini mwangu niliishia kuwabwaga bila sababu za msingi..
Kiukweli sijawahi kufanya mapenzi katika maisha yangu yote.... Ingawaje pasonality yangu ni ya kawaida Kama watu wengine
Imefikia hatua hata nikiangalia pon movies Naweza nisiwe Na hisia kabsa...
Wakuu kuna wengine mpo Kama mm Au mm Nipo peke yangu
ANGALIZO:Sijawahi kutest wala kupiga nyeto... Wakuu ushauri wenu please maana time inasonga ujana unakwisha pia....
Nawasilisha wakuu
Kwa utaalamu wangu mdogo tu wa saikolojia.... wewe ni mzinzi wa kutupwa.

Mpaka unajua na kuandika neno nyeto? Hatari sana.
.
.
Naona weka mia tisa itapendeza.
 
Yaan wakuu ninaweza nikamtongoza mwanamke but akinikubalia nakua Sina hamu nae Tena hata kuonana nae sijiskii
Mmmh hii mpya, nadhani lazima kutakua na tatizo mahali jaribu kujichunguza tangu ulipowatongoza hao wadada na kuwaacha mpka sasa! Fanya mind set
 
Labda mkuu... Ila udomo zege sidhan coz nimejitest kwa eneo nilillpo nimegundua madem wanankubali Sana
Sawa wanakukubali na umesema hata ukiangalia porn hupati hisia vipi ukiwa zero distance na shimela network inapanda?
 
Back
Top Bottom