Asalaaam aleykum wanajf,wanajf naombeni kueleweshwa kwenye hili,nimekuwa nikifuatilia wabunge we2 wakichangia 'bajeti ya Mkulo'(maana si ya wananchi) hasa wabunge wa CCM eti wanaikosoa bajeti na kutoa mapendekezo halafu "WANAIUNGA MKONO KWA 100%" hii inamaanisha nini?au ndo uchizi wa MP's wetu? Help me plz...,
Na wewe unanote vitu vidogo vidogo mno kwani hiyo salamu imegombaaaaaaa ?Hauwezi kutumia salam inayo unganisha watu wote bila kuonesha dini yako?
usipo jibiwa je?
Nafurahi kutambua kilele cha uelewa wako,mimi nimezaliwa,nimelelewa na kukulia ndani ya familia ya kikristo na hata nilipojitambua nimeamua kuendelea hivyo,but nimefanya utafiti sana wa mambo ya dini islamic,christianity,hindu,budha,judaism,etc but elewa kuwa hiyo ni salaam ya kiarabu na haina element hata 0 ya uislam ila tu imekuwa iki2miwa sanasana na wenze2 waislam,samahani sikutaka kusema yote hayo ila tu ni katika kueleweshanaHauwezi kutumia salam inayo unganisha watu wote bila kuonesha dini yako?usipo jibiwa je?
Nafurahi kutambua kilele cha uelewa wako,mimi nimezaliwa,nimelelewa na kukulia ndani ya familia ya kikristo na hata nilipojitambua nimeamua kuendelea hivyo,but nimefanya utafiti sana wa mambo ya dini islamic,christianity,hindu,budha,judaism,etc but elewa kuwa hiyo ni salaam ya kiarabu na haina element hata 0 ya uislam ila tu imekuwa iki2miwa sanasana na wenze2 waislam,samahani sikutaka kusema yote hayo ila tu ni katika kueleweshana
Asalaaam aleykum wanajf,wanajf naombeni kueleweshwa kwenye hili,
nimekuwa nikifuatilia wabunge we2 wakichangia 'bajeti ya Mkulo'(maana si ya wananchi) hasa wabunge
wa CCM eti wanaikosoa bajeti na kutoa mapendekezo halafu "WANAIUNGA MKONO KWA 100%" hii
inamaanisha nini?au ndo uchizi wa MP's wetu? Help me plz...,
Mkuu 2011, tuna uchaguzi gani?Mkuu hilo ndilo kosa mlilolifanya kwenye uchaguzi uliopita. Mmewachagua wabunge wa ccm na badala ya kuwawakilisha nyie wanakiwakilisha chama na serikali yao. Usirudie hayo makosa mwaka 2011