Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,016
- 177,327
Za weekend wana MMU!
Sina mengi zaidi ya kutaka kujua hivi mtu akikutumia meseji au hata tu kukupigia kukuambia kuwa mimi nawewe basi fanya yako nifanye yangu au wewe uwe huru tu masuala ya mahusiano yaishe labda ubakie urafiki wa kawaida tu.
Ahaaa ok ukapata ujumbe ukauelewa vizuri ukakaa kimya hata usimjibu chochote ilhali his/ her message sent delivered and understood.
Wee kimyaaaaa sekunde dakika masaa siku zinasonga huna habari nae mwisho wa siku mameseji kibao ya kukulaumu ee si unaona sasa ulikua hunipendi ooh sikuhizi hunifeel si bure unamtu mwingine maigizo kibao mara akufowadie sms ulizokua unamtumia enzi za mapenzi kunoga mara apige kulaumuuuui wewe kimyaa hata hujali.
Samahani huwa mnatarajia kupewa jibu gani labda na sms umetuma mwenyewe tena kiswahili kinachoeleweka? Au ndo kutishia ?