Unapaniki bure tu Mura, na inaonekana swala la kumpeleka na kumlipia chuo mkeo linakuuma sana mang'ana. Kama uliamua kumpeleka akasome hebu fanya kwa upendo tu, usikae ukategemea aje akusaidie bana. Bora uwaze aje asaidie familia. Akikusaidia na wewe shukuru Mungu asipokusaidia basi.