Nashindwa kuchagua....!

Haaaahaaaaaaahaaaaa mkuu nimekusoma msalimie wife bana mwambie namsabahi sana.
Mke wangu kwenye pesa wala sina haja ya kuweka alarm, hata sasa 10 usiku ukimwambia utaamshwa hadi ahakikishe umejiandaa na kuwahi. Chezea pesa weye
 

mkuu nikianza kuishi nae pamoja vi2 vingi vitabadilika kuanzia ratiba mpaka matumizi, kwa sasa nafurahia nilichojaaliwa, nampenda sn sina sababu ya kumuacha
 
You are still a boy kama unamuona huyo dada ni selfish. Jaribu kusubstitute huo mpira na, mfano taarab. Mwenzako anaependa taarab kweli, hawezi kosa na anakulazimisha muende wote kila weekend, ringtone taarab, stereo nyumbani taarab, taarab concert every weekend toka akiwa mtoto. Unaweza ukaheshimu hobby yake na mka-share lakini huoni kama itakuwa imezidi kidogo mpaka upangiwe ratiba ya kuonana ambayo haiingiliani na shoo Zake?
 
mzee wewe ndio huna hoja, ungekuwa na hoja zilizotulia ungeweza kuchagua.
kwa kuwa uliomba usaidiwe kuchagua-mi nakushauri chagua mpira...sasa unataka tukusaidieje, wewe unayefikri kuwa una hoja?

mke nampenda na mpira pia unanafasi yake wala czan kama ni busara kuchagua kimoja mbona yeye hobie zake anazifanya
 

mpira na mapenzi isnt a competitive things useme u-sabstitute mapenzi ni maisha na mpira ni burudan kwangu ni complement things
 

Kulazimishana ku-share hobbie yako huo ni udikteta.., lakini mwenza kujifunza hobbie yako ili ku-share companionship ni considerate...

Kumwambia mtu achague either hobby yake au wewe.... its more than selfishness its damn right childish, na matokeo yake ni kuwa na mtu kimwili lakini sio kifkra.., busara inasema tune your plans mpira hauchezwi 24/7 fanya mambo mengine wakati wa mpira au kuwa nae muangalie wote, au fanya hobbie zako wakati yeye anafanya zake
 

uko sahihi mkuu thanx
 
Maskini.... it seems unampenda sana, sasa kwanini usipange ratiba zako vzr ili mmpate muda wa kuenjoy?Ni kweli wkends mechi ni nyingi utakuata la liga, bundesliga sijui uefa, juzi kulikuwa na afcon n.k, mi nakushauri hivi, si lazima uangalie mechi zoote zinazochezwa siku hiyo, anagalia mechi moja ili bibie nae apate muda wa kuinjoi na mysweetheart wake bhana

thanx nimekuelewa ila mbona mwanzo alikubali wakati 2naanza, kwaiyo akitokea m2 yuko available anytime she want ataniacha? Is this fair? Nw i'm scared
 

msaada wangu kwako ni huu, hivi sasa un mapenzi kwa vyote,rafiki na mpira. sasa uwe na UPENDO kwa rafiki yako. yote hayo yataisha.
 
unapopendwa shikilia ..we wenzio kila siku wanapost matatizo wanayokumbana nayo kutoka kwa wapenzi kwa kutopendwa wewe mtu anakupenda unajitoa ufahamu ......eti soka zaidi..........baba chagua mechi za kuangalia chonde chonde
 

nimekusoma mkuu ntajitaidi kuzichanga karata vizuri
 
Mpira kitu gan ww, kweli unampenda au unadanganya? Kama kweli unampenda hata usingejua kama kuna mpira. Angalia marudio kaka.
 
unapopendwa shikilia ..we wenzio kila siku wanapost matatizo wanayokumbana nayo kutoka kwa wapenzi kwa kutopendwa wewe mtu anakupenda unajitoa ufahamu ......eti soka zaidi..........baba chagua mechi za kuangalia chonde chonde

sijajitoa ufaham mkuu hii ndo hali halisi, ngoja nijitaidi kupunguza kuangalia
 
Mpira kitu gan ww, kweli unampenda au unadanganya? Kama kweli unampenda hata usingejua kama kuna mpira. Angalia marudio kaka.

nampenda sn, mpira ni burudani ambayo nimeizoea
 
They already tried watching together as she didn't like it. you can't force someone to share your hobbies, but at least make time for them. In case ya huyu jamaa his girlfriend yuko available weekend tu ambayo ni wen huo mpira unachezwa apparently. I'm sure kama yuko serious kwa ajili ya huyu binti anaweza kumfanyia adjustment kwenye ratiba mradi waspend time pamoja enjoying something they both enjoy. The key word is "both". I'm sure kuna VCR bongo. Tafuta wataalamu wakurekodie huo mchezo uangalie nyumbani baadae kama dstv ni ghali mno. Kama una Internet I'm sure kuna highlights au full games online e.g YouTube .


as you can see kuna alternative nyingi za kuangalia huo mpira, lakini hakuna alternative ya mapenzi.



 
mwambie naye achague,mapenzi mchanganyiko/mpira au asepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…