Thiamini nikithomacho kwa hiyo Tamatheo hebu honestly speaking niambie nguvu ya pesa na power of love au strength of a woman kama shaggy alivyojiimbia mbaba wa watu,ipi ipo ni more applicative kwako?
Chagua mpira hautakusaliti, hawa vicheche wapo wengi utapata mwingine na hawachelewi kukusaliti!
Haaaaahaaaahaaaa pole sana brave one that's how women are and you got to understand them.
Mimi naamini kama ukitaka kesho nzuri itumie leo kupata pesa....Mimi nikipata jambo la kuniingia pesa hata usingizi unachopoka kwa muda sembuse woman.
Habari waungwana,
Nimeanza kazi moro nina kam miezi 9 na nimeanzisha uhusiano na binti mmoja alie jaaliwa uzuri miezi 3 iliyopita. Yeye yupo UDSM mwaka wa 2. Kwa bahati nimeamishiwa kikazi DSM. Mimi ni mpenzi sana wa mpira na analijua hili. Kutokana na kazi siku za kawaida nipo bize sana na yeye bize na masomo, weekend nipo free na yeye pia
Tatizo: Huwa anakuja kunitembelea weekend jioni muda ambao mechi nyingi zinachezwa na mimi bila kucheki mpira nakosa raha kabisa na anafahamu. Muda mwingine mechi zikianza jioni ni mpaka usiku, na nikisema nisiende kuangalia mpira nikae nae muda mwingi nacheki update za matokeo ya mechi kwenye simu. Hali hii imekuwa ikimkera na kukasirika mpaka imefikia hatua ameniambia nichague moja yeye ama mpira. wote wanakamilisha furaha yangu.sijui chafanya hadi sasa
msaada waungwana
chagua mpira!
kwa kuwa wewe hufai kuwa mume wa mtu!hapo umesema ndio umeanzisha uhusiano, mkifunga ndoa si ndio itakuwa balaa!
unajua, washauri wa mambo ya ndoa wanashauri kijana aoe akiwa amefikia umri fulani hivi, la sivyo ni matatizo tu.samahani mzee, una umri gani, kama chini ya miaka 28 tafadhali mwache dada wa watu atafute mwingine. kama umri umevuka huo basi hufai kuwa mume tena mume wa kisasa, chagua mpira....
Habari waungwana,
Nimeanza kazi moro nina kam miezi 9 na nimeanzisha uhusiano na binti mmoja alie jaaliwa uzuri miezi 3 iliyopita. Yeye yupo UDSM mwaka wa 2. Kwa bahati nimeamishiwa kikazi DSM. Mimi ni mpenzi sana wa mpira na analijua hili. Kutokana na kazi siku za kawaida nipo bize sana na yeye bize na masomo, weekend nipo free na yeye pia
Tatizo: Huwa anakuja kunitembelea weekend jioni muda ambao mechi nyingi zinachezwa na mimi bila kucheki mpira nakosa raha kabisa na anafahamu. Muda mwingine mechi zikianza jioni ni mpaka usiku, na nikisema nisiende kuangalia mpira nikae nae muda mwingi nacheki update za matokeo ya mechi kwenye simu. Hali hii imekuwa ikimkera na kukasirika mpaka imefikia hatua ameniambia nichague moja yeye ama mpira. wote wanakamilisha furaha yangu.sijui chafanya hadi sasa
msaada waungwana
Mimi naamini kama ukitaka kesho nzuri itumie leo kupata pesa....Mimi nikipata jambo la kuniingia pesa hata usingizi unachopoka kwa muda sembuse woman.
Nina maswali kwako
1-Binti aliyejaliwa uzuri, yupo UDSM. Embu weka kipato chako cha mwezi hadharani
2-Je mpira unaangalia kwako au unaenda sehemu kama Bar?
3-Je mpenzi wako anapenda kubembelezwa au ni mtu wa mastory tu kama chiriku?
Nijibu kisha nitakushauri
najitaidi kuwaelewa ila na nyie mue mnaelewa, nimemsumbua sn mama kurudi usiku kutoka mpirani, nimeruka sana fensi shule kutoroka kwenda kuchek mpira alaf m2 kirahisi 2 anakwambia acha kuangalia hii sio fair kabisa
apo kwenye pesa 2sitaniane kabisa, hata iwe wapi itafuatwa unajua aya mapenzi 2nacomplicate sn
Ningebahatika kukutana na huyo mdada ningemwambia aachane na wewe kwani hujawa na akili za kumjua yeye ni nani kwako na anampango gani na wewe kimaisha. Ivi unaweza linganisha mke to be na mpira? au na wewe ni miongoni mwa wale wanaojiita mashetani wekundu? lijitu bila hana aibu linajita lishetani
kipato changu kina figure 6
mpira naangalia bar japo sinywi
ni mtaratibu anaependa kudeka na kusikilizwa
mkuu kama angewahi kucheza mpira ungenielewa zaidi, sijasema yeye ni sawa na mpira, yeye nampenda maka mpenz wangu na mpira niburudan yangu tangu mtoto nimecheza sn mpaka sasa nafanya majukumu mengine
Khaaaaaaa umeharibu my day kwa kumfikiria mkeo akijua msimamo wako kumhusu sijui atajisikiaje!!!!!!!!!!!!
you don know hw she means to me, alaf kila m2 anastarehe yake wengine music, bia, club,movies sasa mim ni mpira mbona ivo vingine vinafanyika na mapenzi yanaendelea apo huna hoja
Okay,
Yawezekana akawa na wivu akihisi ukiwa unaangalia mpira sehemu za Bar utakengehuka. Mpenzi wako ana kumbukumbu nyingi sana za X wake. Piga esabu Primary, Seconday mpaka amekupata wewe ambaye unaajira tayari amezinguliwa na jamaa wangapi. Lazima alinde mzigo wake.
Si umesema yupo UDSM. Nakushauri kila akija weekend kukutembelea mpokee simu yake ushinde nayo pamoja na yeye. Uwe unajifanya unaangalia setting, picture NK. Alafu umuone japo kwa usoni mwake tu. Fanya hivyo weekend mbili tu ya tatu akija usimpokee simu, wewe muombe ruhusa ya kwenda kuangalia mpira. Alafu nitafute unipe jibu.