Jichange fasta funga Smart Tv geto plus DSTV premium package,,, 129,000 kwa mwezi si haba kwa mtu mwenye mapenzi ya mpira kutoka moyoni... Ili uangalie mpira home ukiwa naye maana bar kuna matusi na mabishano yasiyo na maana kuenda na your loved ones haipendezi...
Duh lakini kaka umetisha mi mwenyewe mpenzi wa Soka but when it comes to Sweetheart Soka linanisamehe kidogo...
Wanawake wa kizazi hichi kazi mnayo yaani Dume linapenda Manchester kuliko Wife..
Dating ni preparation ya ndoa. Yaani ni kama test ya kuona priorities zako ziko wapi. Kama muda wa kuonana ni weekend tu halafu wewe unataka kuangalia mpira tu, utalalamika akikubwaga?
Sijakuhukumu, nilitaka tu ufungue macho yako na ujaribu kuona mbali. Mpira unaouangalia jumamosi, by jumatatu umeshausahau unakumbuka highlights tu. Ukiukosa kwani utaisha? Mechi zingine hazitachezwa?
jali hisia za mwenzio, mfanye nae apende mpira taratibu mtakua mnaangalia wote home
Manchester unaongelea mji au timu?
kama ni timu kwa kizazi hiki hauta eleweka.
Itakua rahisi ukisema "United" au "City"....
Timu zote saivi zimeacha jina la "manchester" maana hamna anae
tambulishwa nalo.
Japo ukitaja "City" utaeleweka kama una maanisha "Manchester City"
lakini kuna timu zime dharauliwa hapa kwa ujio wa kasi wa City.
Timu kama Swansea,Stoke,Norwich, zinakua zime onewa kwa kunyang'anywa
majina yao ya mwisho.
Pint ni kwamba,Manchester haitambulishi timu saivi kama zamani.
It's either "City" or "United"
kuna siku nilienda nae ila yale maneno yaliyokuwa yanatolewa na mashabiki pale alishindwa kuvumilia ataki tena kwenda na anaisi natengeza mazingira ya kupata marafiki ambao sio
Umeonae eeeh! sasaamua wape time nusu nusu,jengine ivi mpira unakuaga kila siku za weekend? kama ndio sasa mtakua na mda wakupanga maisha kweli kama wewe mpenzi wa mpira kiasi hicho? tena inaelekea wewe ukiangalia mpira unaweza mpiga mtu teke wakati wakuangalia unavyokua na munkarrr..hamna mwanamke anapenda kusikia hayo maneno
nampenda sana 2,nikimwambia aje anasema asbh ana discusion, assgmnt zakufanya
nimekusoma ila mwanzo 2naanza nilimwambia nilimwambia napenda mpira alikubali lakin amenigeuzia kibao alaf sio kwamba nisipoangalia mechi labda hazitachezwa hapana ni satsfication ninayoipata ndo muhimu pia nimeanza kuangalia mpira since i was kid,ni kitu ambacho nimekizoea
nataka vyote mkuu
And now you have to let go of your utoto. Si umefaidi miaka 20+ ya mpira ukianza kumpa mwenzio nafasi utakufa? Jiandae kutemwa usipobadilika. Yaani I spend my whole week at school then on weekends I go watch my boyfriend watch soccer??hahahah. itabidi utafute msichana anaependa mpira, huyu hamtaelewana.
kwani timu unayoifagilia unagawana nayo mapato ama inakuaje?Habari waungwana,
Nimeanza kazi moro nina kam miezi 9 na nimeanzisha uhusiano na binti mmoja alie jaaliwa uzuri miezi 3 iliyopita. Yeye yupo UDSM mwaka wa 2. Kwa bahati nimeamishiwa kikazi DSM. Mimi ni mpenzi sana wa mpira na analijua hili. Kutokana na kazi siku za kawaida nipo bize sana na yeye bize na masomo, weekend nipo free na yeye pia
Tatizo: Huwa anakuja kunitembelea weekend jioni muda ambao mechi nyingi zinachezwa na mimi bila kucheki mpira nakosa raha kabisa na anafahamu. Muda mwingine mechi zikianza jioni ni mpaka usiku, na nikisema nisiende kuangalia mpira nikae nae muda mwingi nacheki update za matokeo ya mechi kwenye simu. Hali hii imekuwa ikimkera na kukasirika mpaka imefikia hatua ameniambia nichague moja yeye ama mpira. wote wanakamilisha furaha yangu.sijui chafanya hadi sasa
msaada waungwana
Umeonae eeeh! sasaamua wape time nusu nusu,jengine ivi mpira unakuaga kila siku za weekend? kama ndio sasa mtakua na mda wakupanga maisha kweli kama wewe mpenzi wa mpira kiasi hicho? tena inaelekea wewe ukiangalia mpira unaweza mpiga mtu teke wakati wakuangalia unavyokua na munkarrr..