Jichange fasta funga Smart Tv geto plus DSTV premium package,,, 129,000 kwa mwezi si haba kwa mtu mwenye mapenzi ya mpira kutoka moyoni... Ili uangalie mpira home ukiwa naye maana bar kuna matusi na mabishano yasiyo na maana kuenda na your loved ones haipendezi...
Duh lakini kaka umetisha mi mwenyewe mpenzi wa Soka but when it comes to Sweetheart Soka linanisamehe kidogo...
Wanawake wa kizazi hichi kazi mnayo yaani Dume linapenda Manchester kuliko Wife..
Bado hujapenda....lazima uwe na ratiba ya rafiki, mpenzi, mpira na etc. Huwezi gonganisha kila kitu @ same time, utaachwa, maana hauonyeshi kujali, hizo mechi usipoangalia unapungua nini.....
Hahahah! Hivi utakufa ukikosa updates za mpira? Ukishaoa na kuwa baba kwenye familia yako utakuwa unashinda unaangalia mpira kuliko kutumia muda wako kujenga familia yako. Hujakomaa. You need to grow up. Utapigwa chini unashabikia Ronaldo who doesn't even know you exist.
ukishakuwa kwenye ndoa majukumu ni tofauti na sasa, alaf najua ninachokifanya,nimekueleza situation we unanihukumu.