Mwambie apitie uzi wangu pendwa kwa umakini ili ainjoy maisha ya ulimwengu wa Xiaomi.Chukua Xiaomi model mbalimbali ziko poa Sana, kila kitu. Tafuta uzi wa hizi simu hautojuta.
Ku upgrade battery ya s7 edge bila kudowngrade perfomance kuna simu mbili tu nazionaHabari za muda huu...
Nimekuwa nikibadilisha badilisha sana baadhi ya simu kutokana na mapungufu niyakutayo ndani ya simu baada ya kuzinunua na nilikiwa siwezi kukaa na simu zaidi ya miezi mitatu kama nitakuta mpungufu makubwa ndani yake...
Kwamfano nilishatumiaga Samsung s6 Edge lakini haikuwa inakaa na charge nikahamia kwenye iphone 7 mwaka 2017 lakini haikuwa inakaa na chaji pia na pia ilikuwa inapata moto sana.
Baadae mwaka jana nikahamia kwenye Samsung S7 Edge ambayo nipo nayo mpaka sasa. Honestly, S7 Edge ina battery yenye 3600mAh na inakaa sana na charge na pia ina camera nzuri na mengine mengi tuu mazuri kama speed na vinginevyo.
Najaribu kuwaza kuhamia kwenye simu kama S8/S9 lakini battery yake ni ndogo kuliko ya S7 Edge au Iphone 8 lakini pia battery yake ni ndogo na huwa iPhones hazikai n Chaji,
Naogopa nisije kufanya maamuzi ya kubadili simu baadae nikaja kujutia.
Naombeni mnishauri labda nihamie kwenye simu gani ambayo sitajutia kuhama kutoka kwenye S7 Edge yangu.
Budget yangu ni 1M.
Note 9 na S8+ kikachonifanya niaizipende ni ukubwaKu upgrade battery ya s7 edge bila kudowngrade perfomance kuna simu mbili tu naziona
-Note 9
-s8 active.
Hio note 9 ipo juu ya budget yako,
S8 active unaipata kwa hio budget na change inabaki sema ni simu mbaya kimuonekano japo specs zipo poa.
Kuna s8+ nayo hii uta upgrade perfomance lakini battery itakuwa ni equivalent, kuna test s8+ ipo vizuri na test nyengine s7 edge ipo vizuri.
Ubaya wa hizi brand ni pale unapopasua kioo, spare parts zake inakuwa ngumu sana kupatikana.Chukua Xiaomi model mbalimbali ziko poa Sana, kila kitu. Tafuta uzi wa hizi simu hautojuta.
S7 Edge battery yake ni 3600mAh lakini inakaa sana na chaji kwa matumizi yangu1. PENDA SIMU SIO JINA LA SIMU. Sio kila king'aacho ni Dhahabu. Biashara ni matangazo, wewe kama mteja lazima ujue kupima kipi ni bora na sio kusikiliza maneno ya promotion au muuzaji kumbuka Mwamba ngoma huvutia kwake. Pima Phone Specification. 2. UWEZO WA CHARGE NA BATTERY. Kwa sasa battery vinazofanya vizuri ni 3750mAh ILA LAZIMA uicharge na ORIGINAL CHARGER. Ikiwa simu ni original na charger lazima iwe original. Kila simu ina charger yake. EPUKA kuchaji na charger yeyote ili mladi simu zinaendana. TUNZA Original charger sana. Kila charger imewekewa muundo fulani kutokana na battery husika. Ndio maana ukipata Original charger na Original battery, battery inajaa upesi. 3. BATTERY KUKAA MUDA MREFU. Hiyo inategemea na matumizi yako. Mfano kwenye simu yako kuna apps zifuatazo Instagram, Twitter, Facebook, Telegram, Apps za Blogs mbalimbali. Hizo zote zinatumia energy tena nyingi.
S8 active ni exclusive kwa ajili ya marekani tu hivyo huna ujanja zaidi ya kuagizia.Note 9 na S8+ kikachonifanya niaizipende ni ukubwa
S8 Active nimeisoma Specs zake zipo poa tatizo kwa bongo naipata wapi mkuu.
Go for s8+ mkuu,Yale mambo ya "utapokea baada ya wiki" siyaaminigi mkuu
Hasa kwa bidhaa zenye gharama kama simu.
Bado uko karne ya 20Ubaya wa hizi brand ni pale unapopasua kioo, spare parts zake inakuwa ngumu sana kupatikana.
Nakumbuka nilitumiaga Vivo ikapasuka kioo mpaka leo sijapata kioo chake.
Sababu hizo simu zina bezell ndogo ukubwa sio kivile. S8 ni ndogo kiumbo kuliko s7 edge japo ina kioo kikubwa na s8+ inaizidi s7 edge kama milimita 8 hivi, jaribu kwenda dukani ukafanye size comparison?Ukubwa Mkuu, hata wakati natoka kwenye iPhone 7 nahamia S7 edge ilinitesa sana mpaka kuzoea na uzito pia wa s8+ upo juu.
Mbona poa tu mkuu! Kama Mara tatu hivi mzigo umepotea lakini mbili nimekuwa refunded moja replaced na baada ya miezi miwili na siku sita, na ule wa mwanzo nimekuta posta.Yale mambo ya "utapokea baada ya wiki" siyaaminigi mkuu
Hasa kwa bidhaa zenye gharama kama simu.