MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Nahc ntakuwa sina amani hata nikimuoa,nikitoa kigezi hicho vingine yupo vzur ANAJARIMwambie kuwa hukufurahishwa na moyo wako unakuwa mzito kila ukikumbuka
You can choose to understand n forgive. . Kuoa ni juu yako
So kwamba simpendi Bali alikifanya ndicho kimenichosha zaidi!!Kwamfano tukikuambia umuoe utamuoa? Wakati umesema humpendi?
Ni kweli Kuwait lilikuwa kosa!Ila nlimshauri asitoe ningejitahidi kuhudumia lkn akagoma kabisaaaaaMkiambiwa acheni uzinzi kabla ya ndoa mnajifanya kichwa ngumu,kwani mlipanga kuzaa kabla ya ndoa? Umemtoa usichana halafu unataka kumuacha kweli unaona sawa?
Kwa Umri huo wa miaka 22 sidhani kama umeshaanza kujitegemea. Nahisi binti alikuona bado unakaa kwa wazazi so akahisi atapata tabu sana katika kulea ujauzito . Kwa mtazamo wangu bora ujipange ili ufunge ndoa upate mtoto wa kwenye ndoa.Habarini ndugu zangu was Jf!
Natumai mu wazima wa siha njema.!
Mimi ni kijana wa miaka 22,Nina mpenzi ambaye tumedumu naye kwa takrbani miaka miwili na ananipenda sana kwani mm ndiye niliyekuwa wa kwanza kumtoa usichana wake.
Nilipanga nimuoe hapo baadae lakini siku baada ya siku upendo Wangu kwake umepungua sana na imefikia kutokutamani kuongea nae kabisa.
Kitu kilichosababisha ni yeye alivoamua kuutoa ujauzito wangu,japokuwa nilimkatalia Katakata asifanye vile!!
Anatamani niwe mumewe lakini naona kwangu inakuwa tatzo hasa nikikumbuka alichofanya!!NIMESHINDWA!!
Naombeni Ushauri wenu,he mwanamke huyo anafaa kuoa???
Yaani wewe umemtoa usichana wake halafu umempa mimba nje ya ndoa halafu ukamwambia asitoe mimba hali yakuwa umezini nae na unajua matatizo gani aliyaogopa?,sihalalishi kutoa mimba ila kutomuoa ujue hutaishi kwa furaha hapa duniani na hakuna mwanamke utaishi nae kwa raha hapa duniani,fanya haraka umuoe huyo binti ULIOMUHARIBU,na uende Kanisani UKAUNGAME bila kukosa.Nahc ntakuwa sina amani hata nikimuoa,nikitoa kigezi hicho vingine yupo vzur ANAJARI
DuuuuhSi bora angesema hata mapema, ameniacha nimezama, kutoka sasa nashindwa nashindwa
Sasa nifanye nini
Ni kweli usiopingika lakini kikubwa klichonifanya ni kuzuia jambo La abortion in kubwa zaidi kiafya hata kisaikolojia kwangu na kwake pia!!Tatizo siyo kutoa mimba, tatizo ni kuanza tendo la ndoa kabla ya kupata kibali cha kuwa mme na mke. Hilo unalosumbuka nalo sasa hivi ni matokeo tu. Na nikuhakikishie, mtaendelea kupata matokeo mengine mengi tu ambayo utaendelea kuyaona ni mabaya kumbe wabaya ni nyie wenyewe.
Nakushauri mkatubie hiyo dhambi na kuamua kuishi naye kama mke(japo uliwahi mno kuanza hayo mambo) au mtubie dhambi na muache mahusiano yasiyo na tija mbele za Mungu.