nashindwa ku "Boot from cd room..msaada

nashindwa ku "Boot from cd room..msaada

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
kuna laptop hp 650 na hp ENVY m6 zote zimekuja na window 8, sasa nataka kuweka window 7, kila niki jaribu ku boot from cd inakataa na nikicheki bios nimeweka powa kupitia f10 na kila ki press f9 ili nichagua boot dives inaleta
OS BOOT MANAGER na BOOT FROM EFI FILE tuu.

msaada tafadhali wakuu..
 
bado watu wanatumia cd rom kuinstall os? tengeneza bootable usb stick kisha fnya mambo, cd zinaanza kupitwa na wakati
 
bado watu wanatumia cd rom kuinstall os? tengeneza bootable usb stick kisha fnya mambo, cd zinaanza kupitwa na wakati
Mkuu tupe basi hayo maujanja sisi wengine tunategemea CD kuinstal OS
 
mie siku hizi mvivu kurudia mada zilezile kila mara..

tumia windows 7 dvd usb tool au winToFlash maelezo yake ya google.

Ule uzi wa namana ya kusearch wa chief-mkwawa ungefaa sana ungekua sticked
 
Last edited by a moderator:
C6 wewe ni mutu ya nguvu saaana...kuna cku nilijaribu tumia WintoFlash ikanisumbua ila leo imekuw powaa saana..UpMore man..
 
Back
Top Bottom