Nashindwa ku-attach file

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Wana JF sioni option ya kuweza ku-attach file kwenye email. Natumia simu ina browser Opera mini na pia baidu. Je nifanyeje? File liko kwenye Sd ni la Word
 
Sidhani kama unaweza ku-attach file kwa kutumia simu...ila,kama ms word file linasoma kwenye simu yako then lifungue na jaribu kutafuta option ya send via mail...
Otherwise tumia tablet au pc...

The best choice ndugu yangu ni kujiunga na one drive au google drive.
 

tablet = simu lenye kioo kikubwa. unless iwe inatumia os ya pc
 
Wana JF sioni option ya kuweza ku-attach file kwenye email. Natumia simu ina browser Opera mini na pia baidu. Je nifanyeje? File liko kwenye Sd ni la Word

configure na tumia email client ya kwenye simu hii inayo option ya ku attach.

angalia picha hapo kwenye kiduara chekundu.
 

Attachments

  • 1425191497448.jpg
    47.7 KB · Views: 42
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…