Kuna authenticator app ulishawahi kuinstall na ukaset two-factor authentication . Tafuta hio app af itakupa hizo login code
Kurahisisha mambo fanya kama umeforget password afu request upya tuone itakuaje (maana apa tukianza kuzunguka kwenye authentication process tutazunguka)
Me namba t simu sina je nafanyahe?Namba ya simu uliyotengenezea akaunti si Bado unayo ?
Aiseee me nina shida kama hiyo ila me namba niliyojisajili siitumii tangu mda na email niliyoweka nashindwa kuipata .Kurahisisha mambo fanya kama umeforget password afu request upya tuone itakuaje (maana apa tukianza kuzunguka kwenye authentication process tutazunguka)
Uko wapi? Njoo na soda nikusaidieWakuu naomba msaada account yangu ya Facebook inaniletea maswahibu ambayo siyaelewi, kimsingi sijawahi kulogout hii account ila nashangaa from no where imejifunga na nikiingiza password kuna ujumbe napata na sijui hata namna ya ku generate hiyo kitu, naomba msaada wenu wakuu ujumbe wenyewe ni huu hapa [emoji116]View attachment 1599807
Mkuu nisaidie nami nifufue akaunti yangu ya Facebook .npo ruvumaUko wapi? Njoo na soda nikusaidie
Npo ruvuma -tunduru mkuuUnapatikana wapi mkuu