young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
Kwanza nawapa heli ya mwaka mpya wana JF...Wenzangu me navyojua kwa kawaida mwanaume akifika kileleni umwaga manii,sasa tatizo langu ni kwa jinsia ya kike..hivi wakifa kileleni huwa inakuaje,pili kwa kawaida utumia muda gani kufika huko!maana hapa mtaani tunadanganyana sana.