Kuna tatizo limetokea hapa whatsap yangu nashindwa kureceive sms na call me
awali nili bonyeza call me nikaja kupigiwa baada ya masaa mawili mda huo niliacha simu hivyo hivyo sikupata code
sasa nimeingia WhatsApp nataka nipate tena code sioni pa kuclick nipate code zangu 6
nabaki nasubiri tu kwenye
resend sms na call me hawaniruhusu niclick
Basi unstall harafu delete background files halafu instal nyingine, ikishindwa na iyo, fanya hatua ya kwanza, halafu nenda kweny chrome browser andika whatsapp.apk
Kuna tatizo limetokea hapa whatsap yangu nashindwa kureceive sms na call me
awali nili bonyeza call me nikaja kupigiwa baada ya masaa mawili mda huo niliacha simu hivyo hivyo sikupata code
sasa nimeingia WhatsApp nataka nipate tena code sioni pa kuclick nipate code zangu 6
nabaki nasubiri tu kwenye
resend sms na call me hawaniruhusu niclick
Kwanini uataka code kila mara?
Ulipopigiwa si ungeandika hizo code mchezo ungekuwa umeisha.
Itakuwa wameona una abuse system hizo code sio bure kutuma.