Nashauri usafiri wa Bodaboda uondolewe

Boda boda wote ndiyo walivyo ukienda uganda....burundi.....rwanda
Wanakuwaga na mzukaa
Kitambo sana nlikuwa Kampala enzi Hizo bongo boda boda hazijaingia...vurugu nlizozionaga Huko ndiyo nkaziona na hapa tena....kwa kifupi watu wa Pikipiki ma raider huwa wako raff
Hata wale waendesha Pikipiki za michezo wanaokuwa kikundi ukikutana nao kama uko kwenye Gari utapagawa

Ova
 
CHUKULIA WEWE NDIO UNGEKUWA BODABODA UNGEKUAJE? TUTAFUTE NAMNA YA KUWAFANYA KUWA WASTAARABU NA SIO KUWAFUTA KITENDO CHA KUWAFUTA NI UBINAFSI UNAOSABABISHWA NA WEWE KUWA NA GARI.JIULIZE SISI TUSIONA NA MAGARI TUTATUMIA USAFIRI GANI WA HARAKA?
KUMBUKA KILA KAZI INAKERO ZAKE KWA WENGINE SEMA KERO ZA KAZI ZINGINE HAZIJAKUGUSA KAMA WALIVYOKUGUSA BODABODA. HIVYO UKISEMA TUFUTE SHUGHULI FULANI KWASABABU YA KERO BASI TUTAFUTA KAZI ZOTE HATA WEWE UTAFUTWA MANAAKE KUNA WATU PENGINE WANAKERWA NA UTENDAJI KAZI WAKO.
 
INAWEZEKA VURUGU NI NATURE YA KAZI KAMA ILIVYO POLISI KUCHUKIWA NA RAIA.....😀
 
Hawa watu kwa kweli wamezidi. Na shida wanasiasa wanawatumia sana kipindi cha kampeni kujaza watu. Serikali ikilisimamia hili wenda watakuwa wastaarabu ila kwa sasa wako rough sana na shida ukiwagonga utajuta
 
umesahau kimoja tu kupiga PUNYETO pia kutaongezeka
 
Kwahiyo maafande wanawajua wanaouza bange? Ni mitaa gani hiyo ?
Kule kwenye kiwanja cha mpira, lazim uwakute na wanaouza/ kunua/ kuvuta bange, kwani we huwaonagi?
 
Mimi nahisi serikali ingeweka Sheria, marufuku mumkamata bodaboda akiwa kwenye traffic light, maana hawasimamagi pale kwa kuwa wa naogopa kukamatwa, pili Kuna zile kampuni ziko posta zinakamata pikipiki, Iwe boda, au Hata kama unapikipiki yako unaenda kazini kutafuta maisha na kodi ya serikali, maana mfanyakazi katika nchi hii ndiye mlipa kodi na nchi zingine pia, wale jamaa waondolewe mjini, wako posta na pale kamata, huezi ukamkamata MTU anaenda kazini kisa kibali cha kuingilia mjini, kwanza siyo watu wote wanapenda magari, kibali cha nini wakati MI naenda kazini, nitamuomba waziri wa mambo ya ndani aangalie hili
 
Kabla ya bodaboda kulaumiwa zilianza daladala kulaumiwa kwa makosa kibao mkaja bajaj sasa bodaboda lakini ikimbukwe maderava wengi wa gari binafsi ni wabinafsi hasa wakiwa barabarani na hawana udereva wa kujihami na kwa sababu wabinafsi bodaboda wengi wanajiona ni watu wa kuonewa tu hata bodaboda anaomba kuingia barabara kubwa wenye magari wengi huwa ni wabanaji ndio maana mara nyingi hawa watu matendo yao mengi barabani ni ya kuforceforce tu na sio kwamba hawajui sheria
 


Tunakula matapishi yetu ya kupenda rushwa na kutoa leseni kwa watu wasiokidhi viwango na kuwaruhusu kuchukua abiria
 


Hili ni janga jingine, ktofautiana kwa mindset za watumiaji wa njia ndiko kunawaua abiria wasio na hatia kila siku, kama mamlaka ya usalama barabarani ingekuwa na website ya kutangaza ajali za barabarani za kila siku nadhani kila kata nchini ingekuwa na mhanga wa ajali ya bodaboda kila siku
 
Mimi nawapenda coz wengi ni Chadema
Ujinga ukizidi unakuwa mpumbavu. Chadema wameingiaje hapo. Tunadiscuss issue ya msingi unaleta vyama, hivi watz hatuwezi kuwa wazalendo katika mambo ya kutaifa, angalia wamerekani, kila mtu na bendera ya nchi. Tuachage mambo ya vyama katika vitu vya msingi
 
Kwa kweli pikipiki zimeleta vifo vingi na vilema wengi sana, heri ziwepo bajaj tu kubeba abiria
 
Mkuu usipaniki sana [emoji1] [emoji1] [emoji1] vingine utan tu kuburudisha jukwaa
 
Ndugu yako nikifa njaa utapata nini? Acha hizo bwana.

Kama una kichwa chepesi na kujiongeza pikipiki unajifunza ndani ya dakika 45. Baada ya hapo siku nzima utazunguka na pikipiki ukijifunza vitu vingine vidogo vidogo.

Wengi sana utakuta tunaanza kupakiza abiria kabla ya kua na leseni, na tunaanza kuzurura mabarabarani huku hatujui hata sheria, mfano mimi binafsi leseni sina na ninawajua watu zaidi ya 30 leseni hawana na sheria hatujui.

Kuhusu kugongwa na sisi kua wakali ni kwasababu aghalabu mtu wa pikipiki akigongwa na ulemavu au kifo kimojawapo kinapiga hodi. Wenzangu (kama madereva magari mnavyopendana) hufanya kama kulipiza pia wakati mwingine hua tunataka kukuibia.

Ni mambo ya kujitafutia ridhiki tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…