Nashauri tume ya uchaguzi kuamuru kila kijiji,mtaa kuwa na wagombea wa CCM na UKAWA

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
786
765
Tume kwa hili kuweni makini yawezekana mapingamizi yanayowekwa yakawa na mchezo mchafu,hivyo ili kuimarisha demokrasia yetu wananchi ya kuchagua naomba mzingatie hili ili sisi ndo tuamue,kwa kuwa mimi nina uhuru wa kutoa maoni yangu kama mtanzania naomba mliangalie hili vinginevyo litakuwa sugu hadi kwenye uchaguzi mkuu mwakani.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
ccm inafanya siasa za kishamba sana ! Na kwenye hili heshima kidogo aliyonayo mizengo pinda inaenda kupotea kabisa .
 
Back
Top Bottom