Nashauri TFF wawape Yanga na Simba point moja, moja

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,772
Reaction score
5,847
Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga.

Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua mgogoro huu TFF watoe Suluhu katika mechi hiyo, ikiwa yanga apewe point moja bila goli na Simba apewe point moja bila goli, the Ligi iishe.

Mana tutaenda Afcon ama Ligi itaisha ila mgogoro haujaisha, wape Hali sawa ya point 1 Kwa point 1
 
Ushauri wa kitoto huu. TFF hawapo kwa ajili ya kugawia point Simba na yanga.
 
Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua mgogoro huu TFF watoe Suluhu katika mechi hiyo, ikiwa yanga apewe point moja bila goli na Simba apewe point moja bila goli, the Ligi iishe.
Hii ni kwa mujibu wa kanuni au busara zinatumika?
 
Simba anapewa point moja kwa sheria na kanuni hipi?

Mtu akimbie mechi then azawadiwe point moja kirahisi rahisi tu hilo haliwezekani.

Kama mnataka point(sio moja hata tatu)mngeleta timu icheze ishinde ichukue point zote 3 au draw ipate hiyo moja mnayoitaka.
 
Simba anapewa point moja kwa sheria na kanuni hipi?

Mtu akimbie mechi then azawadiwe point moja kirahisi rahisi tu hilo haliwezekani.
Mechi ILIAHIRISHWA. Wewe hujastukia kuwa yale makelele ya kwenda CAS Sasa hivi yamepungua!?

Ile mechi itachezwa tena.
 
Point moja moja .kwa kutumia sheria au kifungu kipi?
 
Mana tutaenda Afcon ama Ligi itaisha ila mgogoro haujaisha, wape Hali sawa ya point 1 Kwa point 1
Mimi nikiwa km shabiki wa Yanga nasema hatutaki point 1 tunataka 3 hamtaki mbwaimbwai mnamwaga ugali tunamwaga mboga kisha tunatia mchanga ugali wenyewe na mboga pia halafu tuone
 
Mgeni rasmi mama..
Hersi lazima alegeze mwaka wa uchaguzi huu, naye kuna jimbo hapo dom analifukuzia
 
Baada ya kufanya hivyo huo utakua ndio utaratibu rasmi? kwamba timu zingine nazo zikikimbia mechi zitapewa point moja pia?
 
Sisi Simba Sports Club tunasema Yanga Walete timu, hatutaki points za Mezani..!

Kwenda CAS kulilia points za Mezani Sio hadhi ya Timu inayojiita eti ni 'Kubwa'..

Timu Kubwa' Gani inalia Lia ipewe points za Mezani?
 
Kwa kutumia busara namba...,maana najua
kanuni hiyo haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…