Nashauri Sumatra wamulike misemo kwenye bajaji na dalala

Hahahaha, the same to me
 
kabadikishe ujee😀😀😀😀
 
Kwa bandiko hili kuna watu wanaogopa maisha yao wanayoyaishi
Ila yote yanapita tu.
 
Hiyo ya mange kimambi inahusikaje hapo sasa? Shwain!!!
 
MAWE YATAIVA NA KUNI ZITABAKI/ KAMA HUPENDI KUFUATILIWA NA WEWE USIFUATILIE YA WENZIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…