Chrizant Kibogoyo
Senior Member
- Aug 12, 2016
- 159
- 81
Hayo siyo madawati ni vimbweta...Nianze kwa kumpongeza JPM kwa kuvalia njuga tatizo la ukosefu wa madawati. Leo nimetembelea moja ya shule wilaya Kibaha na kukuta madawati ya zege yaliyojengwa mwaka 1981,miaka 35 iliyopita. Hadi Leo ni maxima na kwa kweli yanaonekana imara kuliko hata chumba cha darasa husika. Ktk picha utaona baadhi ya madawati ya mbao yakiwa yameandikwa ukarabati,kwa maana ya kuhitaji kufanyiwa ukarabati licha ya kutengenezwa miaka michache iliyopita. Ni vyema wateule wa JPM wakaiga huu ubunifu ili kumaliza kabisa tatizo la madawati hapa nchini
Hayo siyo madawati ni vimbweta...
hongera sana kwa idea yako nzuriNianze kwa kumpongeza JPM kwa kuvalia njuga tatizo la ukosefu wa madawati. Leo nimetembelea moja ya shule wilaya Kibaha na kukuta madawati ya zege yaliyojengwa mwaka 1981,miaka 35 iliyopita.
Hadi Leo ni mazima na kwa kweli yanaonekana imara kuliko hata chumba cha darasa husika. Ktk picha utaona baadhi ya madawati ya mbao yakiwa yameandikwa ukarabati,kwa maana ya kuhitaji kufanyiwa ukarabati licha ya kutengenezwa miaka michache iliyopita.
Ni vyema wateule wa JPM wakaiga huu ubunifu ili kumaliza kabisa tatizo la madawati hapa nchini
View attachment 402228 View attachment 402229