KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,988
- 72,178
Ukiona mwanamke anatoa mimba ujue iliingia kwa bahati mbaya wengine wanatoa kwasababu za kimaisha n.k lkn watoto wengine naweza sema wamezaliwa kwa bahati mbaya! namaanisha haikuwa dhamira ya wawili hao kupata mtoto.
nahamasisha watu watumie uzazi wa mpango ili kuepusha hayo pili kuweza kupunguza utegemezi ktk nchi yetu maana watu wanapokuwa wengi sana serikali inaweza shindwa kugharamia watu wote hao hata ajira zinakuwa hazitoshi..
kwenye hili swala binafsi naona linamanufaa kuliko kujiendekeza kufyatuana tu bila kujali nini kitajiri baadae.
lzm tuwe nakiasi hasa ukiangalia na nchi yetu tulivyo maskini,huku mitaani vijana wadogo tu mimba mtu wala hana future maalum ya maisha yake lkn hapohapo anawaza future ya mtoto wake aliemzaa bila kutaraji..
Elimu ya mpango wa uzazi ni jambo la msingi sana bora kuwahi sasa kuliko kuchelewa aseee naona hatari mno juu ya hili watu sasa lzm wapangilie uzazi sio kukurukakara tu..
serikali tafadhalini naombeni mtilie mkazo jambo hili.