Habari wana jamvi,Poleni na misukosuko ya Jumamosi
Kutokana na kadhia inayotukuta sisi watanzania kushindwa katika kesi mbalimbali za kitaifa na kimataifa hususani Serikali yetu na kulipa fedha nyingi mfano kukamatwa kwa ndege yetu ya Air bus huko Afrika Kusini naomba nimshauri Rais wangu kama itampendeza kumteua Peter Kibatala kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Naimani yeye ni mwanasheria nguli nani aibu kama taifa kurusu akili kubwa ziwe zinazurura barabarani
Nina imani kuwa Serikali ilitumia raslimali fedha katika kuwapa elimu hawa vijana Serikali iwatumie ni ushauri tu kama itakupendeza mhe Rais