Kesho mmeambiwa na Makonda muandae askari wa kukamata watu wasio na kazi maalumu. Hivyo toa amri askari wawe wa kutosha, lakini muandae na madaktari humo mtakapowaweka wazururaji.
Aanze na vijiwe vya Masaki Oyestabay msasani Mikochen kawe kwa majaribioni tuonane ufanisi wake, vipi kuhusu watoto huko uswahilini kujikusanya kucheza pamoja watawakamata watoto au watawakamata wazazi wao
90% ya watetezi wa CCM mitandaoni ni mbumbumbu hawajui kujenga Hoja kazi yao kubwa ni kuleta usumbufu tu ni Aibu kwa chama kikubwa kama CCM kuendelea kuwatumia watetezi vilaza mitandaoni