Nashauri mjadala Hamphrey Pole pole vs Kafulila suala la Escrow

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Mheshimiwa Pole Pole ambaye umekuwa ukijibainisha kuwa mkweli na muwazi, ningependa pia uongelee suala la TEGETA ESCROW,RADAR SCANDAL na mengine mengi ambayo yametokea ndani ya Taifa letu kwani mimi binafsi nashindwa kuelewa kwa nn umejikita kwenye mada moja tu ya Rich Mond kana kwamba mengine huyaoni,tunaomba na sisi utupe ukweli juu ya haya na wahusika wake ili tuwe na imani na ww ya kwamba hutumiki na baadhi ya wanasiasa kama inavyosemekana kwa sasa.
 
mkuu polepole kuaongelea eskrow na radar ni sawa na kuku kujichungulia nyeti zake mwenyewe
 
Pole Pole hana uwezo zaidi ya kujikomba kwa CCM wampe ela.... Hana kazi tokea 2012 kwa sasa ajira yake ndio hiyo ya kutumika kama sivyo tungeshamkuta guest za Sinza
 
Back
Top Bottom